Loading...
title : BENKI YA CRDB YAUNGANISHA WATEJA WAKE NA HUDUMA YA SimBanking
link : BENKI YA CRDB YAUNGANISHA WATEJA WAKE NA HUDUMA YA SimBanking
BENKI YA CRDB YAUNGANISHA WATEJA WAKE NA HUDUMA YA SimBanking
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Estherine Mtimba (kulia), akimsaidia kufungua akaunti pamoja na kumuunganisha na huduma ya SimBanking mteja mpya wa benki hiyo, Rehema Adam.
Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Benjamin Banzi (wa pili kulia), akimuunganisha mteja, Christopher Mjata kwenye huduma ya SimBanking (huduma za benki ya CRDB kwa njia ya simu za mkononi) katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam.
Mteja wa Benki ya CRDB, Khalid Hassan (kulia), akifungua akaunti katika gari la mauzo la benki hiyo katika eneo la Mbezi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa wa Benki ya CRDB, Eric Maro.
Baadhi ya wateja wa Benki ya CRDB wakitoka kufungua akaunti pamoja na kujiunga na huduma ya SimBanking katika gari la mauzo la benki hiyo katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala BENKI YA CRDB YAUNGANISHA WATEJA WAKE NA HUDUMA YA SimBanking
yaani makala yote BENKI YA CRDB YAUNGANISHA WATEJA WAKE NA HUDUMA YA SimBanking Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YAUNGANISHA WATEJA WAKE NA HUDUMA YA SimBanking mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/benki-ya-crdb-yaunganisha-wateja-wake.html
0 Response to "BENKI YA CRDB YAUNGANISHA WATEJA WAKE NA HUDUMA YA SimBanking"
Post a Comment