Loading...

DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Loading...
DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
link : DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

soma pia


DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU


Matiro amesema anasikitishwa na wananchi mjini Shinyanga kuwa wa kwanza kuchanga michango ya harusi na wengine kutumia pesa hovyo kwenye vileo na wakati kuna watoto wanahitaji msaada hata wa sare za shule na viatu ili waende shule lakini kutokana na kuishi mazingira magumu watoto wanakwama na hatimaye kufanya vibaya darasani. 

Matiro ametoa rai hiyo leo Alhamis Julai 6,2017 mjini Shinyanga wakati akikabidhi nguzo za shule kwa watoto 164 kati ya 1400 ambao wanaishi katika mazingira magumu katika manispaa ya Shinyanga. 

Matiro ametoa msaada huo kwa kwshirikiana na Shirika la TVMC na PWWCO ambayo yanasaidia watoto na akina mama wanaoishi katika mazingira magumu mjini Shinyanga. 

Matiro alisema lengo kuu la msaada huo kuuonesha umma kuguswa namna ya kusaidia watoto wanaoishi mazingira hayo na siyo kuiachia serikali peke yake zikiwamo NGO's na Wageni kutoka nje ya nchi kuja kuokoa watoto hao na wakati wananchi nao wana uwezo wa kuwatatulia changamoto hizo. 

"Ukipita mchango wa harusi unakuta watu wanakuwa wa kwanza kuchangia tena kwa haraka lakini likija suala la kusaidia watoto wanaoishi mazingira magumu, kila mtu utasikia akisema hana pesa ,wananchi mnatakiwa mbadilike" alisema Matiro. 
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amewataka wakazi wa mjini Shinyanga kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kupata elimu wakiwa katika mazingira rafiki na kupata ufaulu mzuri ambao utawafanya wafikie malengo yao ya maisha. 
Mkurugenzi wa Shirika la TVMC mjini Shinyanga Mussa Jonas Ngangala akisoma taarifa kwa mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro jinsi shirika hilo linavyosaidia watoto wanaoishi katika mazingira Magumu na malengo yao juu ya kusaidia watoto 1,400 wanaoishi katika mazingira magumu katika manispaa ya Shinyanga
Zoezi la kukabidhi sare za shule likiendelea 
Watoto 164 wanaoishi katika mazingira magumu wakiwa wamekaa wakisubiri kupewa msaada wa sare za shule na mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro. 


Hivyo makala DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

yaani makala yote DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/dc-shinyanga-akabidhi-sare-za-shule-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC SHINYANGA AKABIDHI SARE ZA SHULE KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU"

Post a Comment

Loading...