Loading...
title : DUKA LA KADI ZA KISASA ZA MIALIKO MBALIMBALI YA SHEREHE LAZINDULIWA MWENGE
link : DUKA LA KADI ZA KISASA ZA MIALIKO MBALIMBALI YA SHEREHE LAZINDULIWA MWENGE
DUKA LA KADI ZA KISASA ZA MIALIKO MBALIMBALI YA SHEREHE LAZINDULIWA MWENGE
Duka la kadi mbalilmbali za mialiko ya sherehe limezinduliwa Mwenge,jana jijini Dar, ambapo kila mtu anaweza kumudu gharama.
Akizungumza baada ya kufunguliwa duka hilo Mkurugenzi Mtendaji wa R Plus , Rehema Moses amesema kuwa wameweka kadi zinazoendana na wakati katika sherehe na hafla mbalimbali.
Amesema Kadi za mialiko walizo nazo ni Send off ,KitchenParty , Harusi pamoja na mialiko ya Kiofisi zinazokwenda kisasa na wakati zaidi.
Rehema amesema katika biashara hiyo wajasirimali wengine wanaweza kununua hapo kwa bei ya jumla kutokana na mahitaji yao.
Amesema kadi zinazopatikana za aina zote za kumfanya kila mtu kuweza kumudu kwa gharama nafuu kutokana na uwezo wake.
Mgeni Maalum wa Ufunguzi wa Duka la Kadi Mwenge, Doris Mollel Foundation, Doris Mollel akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la kadi Mwenge.
Mkurugenzi Mtendaji R Plus na Mmiliki wa Duka la Kadi za Mialiko, Rehema Moses akimuonesha kadi mbalimba mgeni maalum wa ufunguzi wa Duka, Doris Mollel katika hafla iliyofanyika Mwenge.
Mkurugenzi Mtendaji R Plus na Mmiliki wa Duka la Kadi za Mialiko, Rehema Moses akiwa na Mwenza wake wakikata keki mara baada ya duka hilo kufunguliwa.
Mgeni Maalum, Doris Mollel akiwa na Mmiliki wa Duka, Rehema Moses na wadau mbalimbali waliofika katika duka hilo wakibadilishana mawazo mara baada ya uzinduzi
Picha ya Pamoja.
Hivyo makala DUKA LA KADI ZA KISASA ZA MIALIKO MBALIMBALI YA SHEREHE LAZINDULIWA MWENGE
yaani makala yote DUKA LA KADI ZA KISASA ZA MIALIKO MBALIMBALI YA SHEREHE LAZINDULIWA MWENGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DUKA LA KADI ZA KISASA ZA MIALIKO MBALIMBALI YA SHEREHE LAZINDULIWA MWENGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/duka-la-kadi-za-kisasa-za-mialiko.html
0 Response to "DUKA LA KADI ZA KISASA ZA MIALIKO MBALIMBALI YA SHEREHE LAZINDULIWA MWENGE"
Post a Comment