Loading...
title : EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA
link : EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA
EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA
Imekuwa habari njema kwa wadau wa Efm redio waliopo mikoani ambapo redio haikuweza kuwafikia, sasa Efm redio inasikika katika mikoa mitano ambayo ni Dar es salaam na Pwani kupitia masafa ya 93.7, Mwanza 91.3, Mbeya 103.3 na Mtwara 93.7 na hivi karibuni inatarajia kufikisha masafa yake katika mikoa mingine. Lengo kubwa ni kuhakikisha redio Efm inamfikia kila mtanzania na kuhakikisha jamii inanufaika kupitia matangazo ya vipindi mbalimbali vinavyoenda sambamba na matamasha yanayoendeshwa na redio hii.
Hivyo makala EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA
yaani makala yote EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/efm-redio-yazidi-kupasua-anga.html
0 Response to "EFM REDIO YAZIDI KUPASUA ANGA"
Post a Comment