Loading...
title : Ester Bulaya aibuka kidedea dhidi ya Wasira
link : Ester Bulaya aibuka kidedea dhidi ya Wasira
Ester Bulaya aibuka kidedea dhidi ya Wasira
Ester Bulaya.
Wapiga kura hao, Magambo Masato, Matwiga Matwiga, Janes Ezekiel na Escietik Malagila walikata rufaa mahakamani hapo wakipinga hukumu ya Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, iliyompa ushindi Bulaya katika kesi ya uchaguzi waliyoifungua wakipinga matokeo yaliyompa ushindi Bulaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 dhidi ya Steven Wasira (CCM).
Wasira.
Rufaa hiyo ilisikilizwa Mei 11 mwaka huu na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani. Akisoma hukumu hiyo Naibu Msajili Mkwizu amesema kuwa hoja za warufani hao hazina msingi kwani kasoro walizokuwa wakizilalamikia hazikuwa na athari katika matokeo ya uchaguzi huo
Hivyo makala Ester Bulaya aibuka kidedea dhidi ya Wasira
yaani makala yote Ester Bulaya aibuka kidedea dhidi ya Wasira Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ester Bulaya aibuka kidedea dhidi ya Wasira mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/ester-bulaya-aibuka-kidedea-dhidi-ya.html
0 Response to "Ester Bulaya aibuka kidedea dhidi ya Wasira"
Post a Comment