Loading...
title : FEMINA HIP NA NGUVU YA BINTI
link : FEMINA HIP NA NGUVU YA BINTI
FEMINA HIP NA NGUVU YA BINTI
Ni muda wetu sasa! Ndio ni muda wetu. Karibu katika Jukwaa la Nguvu ya Binti 2017, litakalounganisha mabinti, vijana na jamii kwenye mijadala inayomtazama Mtoto wa kike na changamoto zake za kila siku.
Enhe! Mwambie rafiki aje tujifunze, ushauri na tuulize maswali katika mada zinazobeba Ajenda mpya ya Nguvu Ya BINTI 2017
Kila jumatano ya pili na ya mwisho wa mwezi katika kurasa za Femina Hip : Facebook,Instagram na Twitter @feminahip
#SautiYaNguvuYaBinti
Hivyo makala FEMINA HIP NA NGUVU YA BINTI
yaani makala yote FEMINA HIP NA NGUVU YA BINTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FEMINA HIP NA NGUVU YA BINTI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/femina-hip-na-nguvu-ya-binti.html
0 Response to "FEMINA HIP NA NGUVU YA BINTI"
Post a Comment