Loading...

HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION

Loading...
HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION
link : HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION

soma pia


HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION


HYASINTA KISSIMA-NJOMBE

Halmashauri ya Mji Njombe imetoa misaada yenye thamani ya shilingi milioni mbili laki moja na arobaini kwa vituo viwili vya watoto yatima Compassion na Uwemba Mission ikiwa ni sehemu ya mapato ya ndani ya Halmashauri yaliyokusanywa katika robo ya nne ya mwaka wa fedha 2016/2017.

Akizungumza wakati akikabidhi misaada hiyo katika kituo cha watoto Yatima Compassion, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Illuminatha Mwenda amesema kuwa Halmashauri yake imejiwekea utaratibu wa kuhakikisha kuwa katika kila robo ya mwaka wa fedha inatenga fedha kwa ajili ya kusaidia jamii ya wenye uhitaji wakiwemo watoto yatima ili kuonesha upendo lakini pia kuijengea jamii tabia ya kuonesha upendo na kusaidia wale wote wenye mahitaji mbalimbali.

“Kila tunapokusanya mapato imekua ni utaratibu wa Halmashauri kwa kushirikiana na idara ya Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa jamii kuangalia makundi yenye uhitaji na kuona ni kwa namna gani tunayaongezea nguvu zaidi ili nao waweze kujikwamua kimaisha na kuona kuwa wao pia ni sehemu ya jamii inayotambulika na kuheshimika. 
 
Tumekua tukifanya hivi mara kwa mara na leo tunapofunga mwaka na kuanza mwaka mpya wa fedha tumeona kwa kile kidogo tulichokipata tuweze pia kugawana na watoto hawa na furaha yangu imeongezeka kwani mpaka sasa Halmashauri yangu tumefanikiwa kukusanya mapato kwa asilimia mia na kuvuka lengo .”Alisema Mwenda.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Illuminatha Mwenda wa kwanza kulia akiwa amembeba mtoto anayelelewa katika kituo cha watoto Uwemba Mission.Kulia kwake ni Afisa Maendeleo na Afisa Ustawi wa Jamii Hosea yusto
Mtoto Imelda Msola kutoka kituo cha watoto Compassion akitoa mkono wa asante kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Illuminatha Mwenda mara baada ya kukabidhiwa misaada mbalimbali katika kituo hicho
Misaada iliyokabidhiwa katika kituo cha watoto Uwemba Mission.



Hivyo makala HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION

yaani makala yote HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/halmashauri-ya-mji-njombe-yafunga-mwaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAFUNGA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 KWA KUTOA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA COMPASSION NA UWEMBA MISSION"

Post a Comment

Loading...