Loading...

HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA

Loading...
HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA
link : HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA

soma pia


HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA

Hatimaye Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo ametii shinikizo lililokuwa likitolewa na Wazee, viongozi na wanachama wa Jumuiya hiyo kumuomba agombea tena nafasi yake. 

Hayo yametimia kufuatia Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Alhaji Bulembo kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi hiyo, katika Ofisi za Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dodoma leo mchana, huku akifanya tukio hilo kimyakimya tofauti na ilivyozoeleka ambapo baadhi ya wawania uongozi husindikizwa na wapambe na waandishi wa habari.

Licha ya kwenda kimyakimya, lakini taarifa zilizopatikana mjini hapa, zimesema kwamba alifika kwenye Ofisi za hizo za Wazazi mkoa wa Dodoma mda wa saa nane mchana akijiedesha kwa gari namba T888 DFB aina Toyota Land Cruser lenye vioo vya giza, na kukabidhiwa fomu hizo na Mwenyekiti wa Jumuia wa mkoa Gama Juma.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akikabidhiwa fomu ya na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo mkoa wa Dodoma, Gama Juma, leo.




Hivyo makala HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA

yaani makala yote HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/hatimaye-bulembo-akubali-shinizo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...