Loading...

HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10.

Loading...
HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10.
link : HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10.

soma pia


HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10.

Mwambawahabari

Ibrahim Ajib ametambulishwa rasmi na klabu ya Yanga baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo kwenye mashindano mbalimbali kuanzia msimu wa 2017-2018.

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Bonifasi Mkwasa na meneja wa timu Saleh Hafidh wamemtambulisha Ajib mbele ya waandishi wa habari ndani ya makao makuu ya Yanga mtaa wa Jangwani.


Awali zilianza kama tetesi huku Ajib na Yanga wote wakikanusha tetesi ambazo zilikua zikiibuliwa kwamba Ajib amesaini mkataba na Yanga.

Ajib amekabidhiwa jezi namba 10 ambayo ilikuwa inavaliwa na Matheo Anthony, Ajib ameondoka Simba akiwa anavaa jezi namba 23 ambapo kwa upande wa Yanga jezi hiyo inavaliwa na nahodha Nadir Harou ‘Cannavaro’.


Hivyo makala HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10.

yaani makala yote HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/hatimaye-yanga-yamtambulisha-ajib-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HATIMAYE YANGA YAMTAMBULISHA AJIB NA KUMPA JEZI NAMBA 10."

Post a Comment

Loading...