Loading...

IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA

Loading...
IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA
link : IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA

soma pia


IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA

Mwambawahabari



 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza jambo na Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Debora Magiligimba, IGP Sirro amepita mkoani Singida, akiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha pamoja na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo


 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiweka saini katika kitabu cha wageni katika kituo cha Polisi cha Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, na kuzungumza na baadhi ya askari na maofisa (hawapo pichani), IGP Sirro, amepita katika wilaya hiyo, akiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha pamoja na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Manyoni (OCD) Cleophace Magesa, IGP Sirro, amepita katika wilaya hiyo, akiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha pamoja na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akifurahia jambo na kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga, kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Muliro J. Muliro, IGP Sirro, amepita mkoani humo, akiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kujitambulisha pamoja na kuzungumza na askari wa Jeshi hilo. Picha zote na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi


Hivyo makala IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA

yaani makala yote IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/igp-sirro-akutana-na-baadhi-ya_19.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AKUTANA NA BAADHI YA MAKAMANDA AKIWA SAFARINI MIKOA YA KANDA YA ZIWA"

Post a Comment

Loading...