Loading...

JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI

Loading...
JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI
link : JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI

soma pia


JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo amewataka wakandarasi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara na majengo katika halmashauri zote nchini kuzingatia mikataba ya ujenzi, huku akiwaonya tabia ya kuchelewesha kukamilisha miradi kwa wakati.

Jafo aliyasema hayo katika ziara ya kikazi ya kutembelea miradi ya barabara na madaraja wilayani Kisarawe.Amesema Ofisi ya Rais, Tamisemi haitofumbia macho wakandarasi ambao wameshinda tenda za ujenzi na kuonesha uwezo mdogo.

“Pia hatutafumbia macho ucheleweshaji wa miradi bila sababu yeyote ya msingi kinyume na matarajio yaliyoainishwa ndani ya mkataba,”amesema Jafo.

Naibu Waziri Jafo katika ziara zake hivi karibuni ikiwemo ujenzi wa daraja la Twangoma lililopo wilaya ya Temeke mkoani Dar es salaam amekuwa akisisitiza wakandarasi kuzingatia ubora wa madaraja yanayojengwa  nchini ili yaweze kudumu kwa muda mrefu. 

Jafo amemaliza ziara yake leo wilayani Kisarawe na anatarajia kuendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro, Songwe, Njombe, Singida, Tabora, Kagera, Mwanza na Mara.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akiwa na wataalam wa ujenzi wa daraja la Kologombe linalounganisha Kijiji cha Gwata na Dololo wilayani Kisarawe.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za mji wa Kisarawe.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akipata maelekezo kuhusu ujenzi wa barabara ya kisarawe mjini kutoka kwa Mhandisi wa Halmashauri Mbena.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua ujenzi wa daraja la Kologombe wilayani Kisarawe.


Hivyo makala JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI

yaani makala yote JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/jafotunataka-kasi-katika-utekelezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO:TUNATAKA KASI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI"

Post a Comment

Loading...