Loading...

Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho

Loading...
Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho
link : Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho

soma pia


Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Timu ya Kombain ya Wilaya ya Mjini inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na Dulla Boys kesho Jumatatu July 3, 2017 saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Amaan.

Kiingilio cha mchezo huo ni Shilingi Elfu moja na V.I.P ni shilingi Elfu mbili.

Mchezo wa mwisho wa kirafiki Mjini watacheza na Kwerekwe City siku ya Jumatano July 5, 2017 saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Amaan.

Kombaini ya Mjini wanajiandaa na Mashindano ya Rolling Stone yanayotarajiwa kuanza July 9 hadi July 19, 2017 huko Mbulu Manyara.


Hivyo makala Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho

yaani makala yote Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/kombain-wilaya-ya-mjini-kucheza-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kombain wilaya ya mjini kucheza na Dulla Boys kesho"

Post a Comment

Loading...