Loading...

Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0

Loading...
Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0
link : Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0

soma pia


Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0

 Kikosi cha timu ya Mbulu
Kikosi cha Kombaini ya Wilaya ya mjini

Mabingwa watetezi wa Mashindano ya Vijana ya Afrika Mashariki na Kati ya Rolling Stone timu ya Kombain ya Mjini Unguja imeanza vyema kutetea taji lao jioni ya leo baada ya kuwafumua wenyeji wao timu ya Mbulu All Stars mabao 4-0 mchezo uliopigwa katika uwanja wa Julius Nyerere huko Mbulu Mkoani Manyara.

Mabao ya Mjini yamefungwa na Mohd Vuai “Prince”, Seif Said “Tiote”, Abdul hamid Juma (Samatta) na Fahmi Salum (Migwel).

Mjini watashuka tena Dimbani siku ya Jumanne ya July 11, 2017 kucheza na Kenya saa 8:00 za mchana katika uwanja wa Julius Nyerere huko Mbulu Mkoani Manyara.


Hivyo makala Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0

yaani makala yote Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/kombaini-ya-wilaya-ya-mjini-yaanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kombaini ya Wilaya ya Mjini yaanza vyema mashindano ya Rolling Stone yawafunga wenyeji 4-0"

Post a Comment

Loading...