Loading...

MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED

Loading...
MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED
link : MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED

soma pia


MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED

Na: Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar.
Baada ya kufanikiwa kupanda daraja la kwanza Taifa msimu ulopita Timu ya Villa United “Mpira Pesa” yenye Maskani yake Mwanakwerekwe imepania na msimu huu mpya kuondoka daraja hilo na kupanda daraja jengine.

Akizungumza na Mtandao huu kocha mkuu wa timu hiyo Ramadhan Abdulrahman “Madundo” amesema kwa soka la Zanzibar lilivo hawana sababu timu yao isipande tena daraja msimu huu kama ilivyofanya miaka miwili mfululizo iliyopita.

“Sisi kila mwaka tunapanda daraja jengine sasa sioni sababu na mwaka huu tusipande daraja jengine, kwani nina wachezaji wenye uwezo binafsi na pia uongozi wangu upo imara”. Alisema Madundo.

Timu ya Villa United ilianzishwa mwaka 2013 ambapo ilianzia kucheza madaraja ya Vijana Wilaya ya Mjini lakini ilipofika msimu wa mwaka 2015-2016 ilishiriki ligi daraja la Pili Wilaya ya Mjini na kufanikiwa kupanda daraja, Msimu ulopita wa mwaka 2016-2017 Villa ilifanikiwa tena kupanda daraja la Kwanza Taifa ambapo msimu ujao mpya wa mwaka 2017-2018 pia wamepania kupanda daraja jengine kama ni ligi 2 au ligi kuu soka ya Zanzibar itategemea msimu huu mfumo gani utatumika kwenye madaraja husika.


Hivyo makala MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED

yaani makala yote MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/madundo-apania-kupanda-tena-daraja-timu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MADUNDO APANIA KUPANDA TENA DARAJA TIMU YAKE YA VILLA UNITED"

Post a Comment

Loading...