Loading...

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA

Loading...
MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA
link : MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA

soma pia


MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA

PMO_4468
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza ujumbe kutoka kwa Chifu Jubeki Chimpansya wa  Momba baada ya kusimikwa na wazee wa mila kuwa Chifu Simpanji katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Uwanja wa Shule ya Misngi ya Mwaka katika mji mdogo wa Tunduma mkoani Songwe Julai 21, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4522
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipokagua eneo la ujenzi wa jengo la pamoja la forodha kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia  katika mji mdogo wa Tunduma. Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4586
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary  (kushoto kwake) wakitazama gari lililotengenezwa na  Adam Zachariah Kinyekie wakati alipowasili kwenye uwanja 
PMO_4669
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Misingi ya Mwaka katika mji mdogo wa  Tunduma.  Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4707
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  Dickson Mwandambila ambaye ni mlemavu baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye  Uwanja wa Shule ya Msingi ya Mwaka katika mji mdogo wa Tunduma.  Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_4358
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  wa Ujenzi wa banio na mfereji wa maji wakati alipotembelea mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa Makamba wilayani Momba Julai 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA

yaani makala yote MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/majaliwa-ahutubia-mkutano-wa-hadhara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA TUNDUMA"

Post a Comment

Loading...