Loading...

MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA

Loading...
MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA
link : MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA

soma pia


MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA

  Mbunge wa Ilala ambaye pia ni Kamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge Mhe Mussa Azzan Zungu  akiongoza kikao baina ya Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Uganda  na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Tanzania mapema leo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Kikao baina ya Makamishina hao ambacho lengo kubwa lilikuwa ni kubadilishana uzoefu wa utedaji kazi kiliongozwa na Mhe Zungu  kwa niaba ya Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai ambaye ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Tanzania. Makamishina hao wa Bunge la Uganda wapo nchini kwa ziara ya Kibunge ya siku mbili.
 Kiongozi wa Msafara Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Uganda Mhe Cecilia  Ogwal (wa kwanza kushoto) akizungumza wakati wa kikao baina ya Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Uganda  na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Tanzania mapema leo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
  Katibu wa Bunge mbaye pia ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Tanzania Dkt. Thomas Kashililah akizungumza wakati wa  kikao baina ya Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Uganda  na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Tanzania mapema leo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Uganda  na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Tanzania  (waliokaa) na baadhi ya Watumishi wa pande zote mbili katika  picha ya pamoja mara baada ya kikao.
(Picha na Ofisi ya Bunge)


Hivyo makala MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA

yaani makala yote MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/makamishina-wa-tume-ya-utumishi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA"

Post a Comment

Loading...