Loading...

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI

Loading...
MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI
link : MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI

soma pia


MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI

unnamed

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Baba Mdogo wa Marehemu Hassan Rashid Shebuge, Bw. Juma Hassan Shebuge mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Mbagala Maji Matitu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombelezo ya Marehemu Hassan Rashid Shebuge,nyumbani kwa marehemu Mbagala Maji Matitu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu
2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pole na kumfariji mjane wa  Marehemu Hassan Rashid Shebuge,nyumbani kwa marehemu Mbagala Maji Matitu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili  Marehemu Hassan Rashid Shebuge,nyumbani kwa marehemu Mbagala Maji Matitu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
4
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa salaam za Serikali mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Hassan Rashid Shebuge.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu. (# Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/makamu-wa-rais-aongoza-mamia-kutoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI"

Post a Comment

Loading...