Loading...
title : MAKILAGI: WATAKAOTUMIA RUSHWA UCHAGUZI HUU UWT TUTAWATIA ADABU
link : MAKILAGI: WATAKAOTUMIA RUSHWA UCHAGUZI HUU UWT TUTAWATIA ADABU
MAKILAGI: WATAKAOTUMIA RUSHWA UCHAGUZI HUU UWT TUTAWATIA ADABU
NA BASHIR NKOROMOJumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) imeapa kuwa ya mfano katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika Jumuia hiyo watakaobainika kutumia rushwa au kufanya vitendo vyovyote vinavyokiuka kanuni za Uchaguzi.
Kiapo hicho kimetolewa jana jijini Dar es Salaam, na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Amina Makilagi wakati akitangaza maazimio ya Kikao Cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UWT kilichofanyika juzi Makao Makuu ya Jumuiya hiyo, jiijini.
"Tunashukuru kwamba baada ya Mwenyekiti wetu wa CCM, Rais Dk. John Magufuli kuonyesha anapambana na rushwa kufa na kupona na kwa dhati kabisa, kila mtu amemuelewa na sisi UWT tunaahidi kumuunga mkono kwa kuhakikisha katika uchaguzi huu hatutakuwa na mzaha, yeyoyote atakayebainika kutumia rushwa hatutamuonea aibu hata awe nani", alisema Makilagi.
Alisema, uchaguzi kwa ngazi ya Matawi umefanyika kwa asilimia 95, ngazi ya Kata vikao vya uchujaji vinaendelea na kwa ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa uchaguzi unaendelea.
Hivyo makala MAKILAGI: WATAKAOTUMIA RUSHWA UCHAGUZI HUU UWT TUTAWATIA ADABU
yaani makala yote MAKILAGI: WATAKAOTUMIA RUSHWA UCHAGUZI HUU UWT TUTAWATIA ADABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKILAGI: WATAKAOTUMIA RUSHWA UCHAGUZI HUU UWT TUTAWATIA ADABU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/makilagi-watakaotumia-rushwa-uchaguzi.html
0 Response to "MAKILAGI: WATAKAOTUMIA RUSHWA UCHAGUZI HUU UWT TUTAWATIA ADABU"
Post a Comment