Loading...

MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017

Loading...
MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017
link : MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017

soma pia


MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017

Image result for picha ya nembo ya tra
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
 11 JULAI 2017
Mamlaka ya Mapato Tanzania imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi Trilioni 14.4 kwa mwaka wa fedha 2016/17.
Makusanyo haya ni sawa na ukuaji wa asilimia 7.67 ikilinganishwa na makusanyo ya mwaka 2015/16 ambayo yalikuwa ni kiasi cha Shilingi Trilioni 13.3.
Sambamba na Makusanyo, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa kodi TRA Bw. Richard Kayombo alisema Mamlaka imeendelea kukusanya kodi mbalimbali ikiwemo kodi ya majengo na muitikio wake umekuwa ni wa kiwango cha kuridhisha.

Mamlaka inapenda kuwashukuru walipakodi wote kwa muitikio huo na wengine wanaoendelea kujitokeza katika ofisi mbalimbali za Mamlaka nchi nzima ili kuweza kulipa kodi hiyo ambayo mwisho wa kulipa kodi hiyo ni tarehe 15 Julai, 2017.
Aidha, Mamlaka inapenda kutoa wito kwa wafanyabiashara wote kutoa risiti za EFD pindi wanapo uza bidhaa au huduma na Wananchi wote kuhakikisha wanadai risiti pindi wanapo nunua bidhaa au huduma na kwa, kinyume na hapo hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa yeyoteatakayekutwa na kosa la kutokudai ama kutokutoa risiti.
Hivi sasa kuna zoezi la uhamasishaji na ukaguzi linaloendelea nchi nzima katika sehemu zote za biashara kukagua wafanyabiashara wasiotumia Mashine za Risiti za Kielektroniki za EFDs pamoja na wananchi wote wasiodai risiti baada ya kununua bidhaa au huduma.


“Napenda kuwakumbusha wananchi wote kuhakiki risiti zao ili kuona usahihi wa tarehe na kiasi walicholipa kabla ya kuondoka na risiti hiyo” alisistiza Kayombo



 ‘Pamoja Tunajenga Taifa Letu’
Richard Kayombo
MKURUGENZI WA HUDUMA NA ELIMU KWA MLIPAKODI


Hivyo makala MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017

yaani makala yote MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/makusanyo-ya-kodi-mwezi-julai-2017.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKUSANYO YA KODI MWEZI JULAI 2017"

Post a Comment

Loading...