Loading...

Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya.

Loading...
Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya.
link : Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya.

soma pia


Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya.

Mwambawahabari

1
Balozi wa Kiswahili Afrika Mama Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya Kiswahili nchini Kenya katika Jengo la Kenya Institute of Curriculum Development, Nairobi, Kenya ambapo ameahidi kuitumia kwamanufaa ya Tanzania, Kenya, East Afrika, Afrika na Duniani kwa Ujumla.
2
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea wakati wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya Kiswahili nchini Kenya katika Jengo la Kenya Institute of Curriculum Development, Nairobi, Kenya.
3
Balozi wa Kiswahili Afrika Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania, Kenya, Dkt. Pindi Chana (wa kwanza kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria Semakafu (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) wakati wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya Kiswahili leo nchini Kenya.
0


Hivyo makala Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya.

yaani makala yote Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mama-salma-kikwete-ashiriki-katika_25.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mama Salma Kikwete Ashiriki Katika Uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili Nchini Kenya."

Post a Comment

Loading...