Loading...

Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri

Loading...
Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri
link : Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri

soma pia


Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta jambo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi wakiwa katika Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Rashid Shebuge, nyumbani kwa Marehemu, Mbagala Majimatitu Jijini Dar es salaam leo.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akimfariji Mjane wa Marehemu, Hassan Rashid Shebuge wakati alipofika msibani hapo, Mbagala Majimatitu Jijini Dar es salaam leo.


Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Dua ya kumuombea Marehemu Hassan Rashid Shebuge wakati alipofika msibani hapo, Mbagala Majimatitu Jijini Dar es salaam leo.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Maombolezo.


Sehemu ya Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Hassan Rashid Shebuge pindi ulipowasili nyumbani kwake, Mbagala Majimatitu Jijini Dar es salaam leo tayari kwa maandalizi ya mazishi.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Simon Sirro.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu Ikulu, Alphayo Kidata

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye Msiba wa Marehemu Hassan Rashid Shebuge aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri, nyumbani kwa Marehemu, Mbagala Majimatitu Jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.


Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa wamejumuika na waombolezaji wengine kwenye Msiba wa Marehemu Hassan Rashid Shebuge aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri, nyumbani kwa Marehemu, Mbagala Majimatitu Jijini Dar es salaam leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza machache.

Katibu Mkuu Ikulu, Alphayo Kidata akisoma taarifa fupi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi pamoja na Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Simon Sirro wakiwa wamejumuika na waombolezaji wengine kwenye Msiba wa Marehemu Hassan Rashid Shebuge aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri, nyumbani kwa Marehemu, Mbagala Majimatitu Jijini Dar es salaam leo.


Hivyo makala Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri

yaani makala yote Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-makamu-wa-rais-samia-suluhu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Aongoza Waombolezaji Msiba wa Karani wa Baraza la Mawaziri"

Post a Comment

Loading...