Loading...
title : Matukio : Mazishi ya Linah Mwakyembe kufanyika leo Kijijini Ikolo, Wilayani Kyela Mkoani Mbeya
link : Matukio : Mazishi ya Linah Mwakyembe kufanyika leo Kijijini Ikolo, Wilayani Kyela Mkoani Mbeya
Matukio : Mazishi ya Linah Mwakyembe kufanyika leo Kijijini Ikolo, Wilayani Kyela Mkoani Mbeya
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Linah George Mwakyembe aliyekuwa Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, ukiwa nyumbani kwao katika Kijiji cha Ikolo, wilayani Kyela mkoani Mbeya. mwili wa Marehemu Linah George Mwakyembe unatarajiwa kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya Milele mchana huu katika Makaburi ya familia, Kijijini kwao Ikolo, wilayani humo.
Prof. Mark Mwandosya na Mkewe Bi. Lucy Mwandosya wakiwafariji watoto wa Marehemu wakati waliopofika msibani hapo mapema leo.
Prof. Mark Mwandosya akimfariji Dkt. Harrison Mwakyembe aliyefiwa na Mkewe, Linah George Mwakyembe wakati maandalizi ya mazishi yake, Kijijini kwao Ikolo, wilayani Kyela mkoani Mbeya. Kushoto ni Mke wa Prof. Mwandosya, Bi. Lucy Mwandosya.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akilakiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel alipowasili nyumbani kwa Dkt. Harrison Mwakyembe, Kijijini Ikolo, wilayani Kyela, tayari kwa Mazishi ya Marehemu Linah George Mwakyembe aliyekuwa Mke wa Dkt. Mwakyembe.
Wakuu wa Mikoa ya Lindi na Njombe, Godfrey Zambi (kushoto) na Ole Sendeka (kulia) wakiwasili nyumbani kwa Dkt. Harrison Mwakyembe, Kijijini Ikolo, wilayani Kyela.
Hivyo makala Matukio : Mazishi ya Linah Mwakyembe kufanyika leo Kijijini Ikolo, Wilayani Kyela Mkoani Mbeya
yaani makala yote Matukio : Mazishi ya Linah Mwakyembe kufanyika leo Kijijini Ikolo, Wilayani Kyela Mkoani Mbeya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Mazishi ya Linah Mwakyembe kufanyika leo Kijijini Ikolo, Wilayani Kyela Mkoani Mbeya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-mazishi-ya-linah-mwakyembe.html
0 Response to "Matukio : Mazishi ya Linah Mwakyembe kufanyika leo Kijijini Ikolo, Wilayani Kyela Mkoani Mbeya"
Post a Comment