Loading...

Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma

Loading...
Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma
link : Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma

soma pia


Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma




Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza mwenyekiti wa kijijji cha Uvinza Ndugu Nilisi Noa Ntabai alipokuwa akieleza kero ya maji ya eneo hilo la uvinza ikiwemo kusimama kwa kiwanda cha chumvi Uvinza ambacho kilikuwa tegemeo kwa wananchi wa eneo hilo,ambapo Mhe,Rais amewaahidi wananchi hao kumtuma Waziri wa Viwanda na Biashara kushughulikia tatizo hilo. Julai 23,2017.


Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikagua tanki la akiwa kuhifadhia maji toka mto Maragalasi kabla ya kuweka jiwe la msingi la maradi huo utakao hudumia wananchi wa Nguruka, Uvinza, mkoani Kigoma. Kulia ni Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge.


Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa ameambatana na Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge wakishuka ngazi mara baada ya Mh,Rais Kukagua Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka kabla ya kuhutubia wananchi.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mkono na Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge mara bada ya kuweka jiwe la msingi la maradi wa maji Nguruka.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwa ajili ya Wananchi wa Nguruka.

Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasalimia Mamia ya Wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma mara baada ya kuhitimisha kuwahutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka. Picha na IKULU


Hivyo makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma

yaani makala yote Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-rais-dk-magufuli-aweka-jiwe-la_23.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Rais Dk. Magufuli Aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji, Mkoani Kigoma"

Post a Comment

Loading...