Loading...
title : Matukio : Spika Ndugai Akutana na Rais Mstaafu wa Ireland Ofisini kwake Mjini Dodoma
link : Matukio : Spika Ndugai Akutana na Rais Mstaafu wa Ireland Ofisini kwake Mjini Dodoma
Matukio : Spika Ndugai Akutana na Rais Mstaafu wa Ireland Ofisini kwake Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akizungumza wakati ugeni kutoka “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya ilipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma, katikati ni Rais Mstaafu wa Ireland ambae pia ni Mjumbe kutoka Taasisi hiyo Mhe. Mary Robinson na kushoto ni Mjumbe wa Taasisi hiyo Ndg. Graca Michel
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Ndg. Graca Machel (kushoto) katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma, katikati ni Rais Mstaafu wa Ireland ambae pia ni Mjumbe kutoka Taasisi hiyo Mhe. Mary Robinson
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akimkabidhi Mfano wa picha ya jengo la Bunge Rais Mstaafu wa Ireland ambae pia ni Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Mhe. Mary Robinson katika tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Rais Mstaafu wa Ireland (katikati) ambae pia ni Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Mhe. Mary Robinson, kulia ni Mjumbe wa Taasisi hiyo Ndg. Graca Machel (kushoto) katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Ndg. Graca Machel (kulia) katika tukio lililofanyika katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Rais Mstaafu wa Ireland (kulia) ambae pia ni Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Mhe. Mary Robinson katika tukio lililofanyika katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala Matukio : Spika Ndugai Akutana na Rais Mstaafu wa Ireland Ofisini kwake Mjini Dodoma
yaani makala yote Matukio : Spika Ndugai Akutana na Rais Mstaafu wa Ireland Ofisini kwake Mjini Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Spika Ndugai Akutana na Rais Mstaafu wa Ireland Ofisini kwake Mjini Dodoma mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-spika-ndugai-akutana-na-rais.html
0 Response to "Matukio : Spika Ndugai Akutana na Rais Mstaafu wa Ireland Ofisini kwake Mjini Dodoma"
Post a Comment