Loading...
title : Matukio : Utiliaji Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Manispaa ya Mjini Unguja na Jiji la PostDom Wafanyika Zanzibar
link : Matukio : Utiliaji Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Manispaa ya Mjini Unguja na Jiji la PostDom Wafanyika Zanzibar
Matukio : Utiliaji Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Manispaa ya Mjini Unguja na Jiji la PostDom Wafanyika Zanzibar
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akitiliana saini na Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia wakibadilishana hati baada ya kitiliana saini na Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akiwa pamoja na Mstahiki Meya wa Jiji la Postdam Ujarumani wakionesha hati walizotiliana saini kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib akitoa hotuba katika Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob akitoa hotuba katika Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Hivyo makala Matukio : Utiliaji Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Manispaa ya Mjini Unguja na Jiji la PostDom Wafanyika Zanzibar
yaani makala yote Matukio : Utiliaji Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Manispaa ya Mjini Unguja na Jiji la PostDom Wafanyika Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Utiliaji Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Manispaa ya Mjini Unguja na Jiji la PostDom Wafanyika Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-utiliaji-saini-mkataba-wa.html
0 Response to "Matukio : Utiliaji Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Manispaa ya Mjini Unguja na Jiji la PostDom Wafanyika Zanzibar"
Post a Comment