Loading...
title : Matukio : Waziri, Mwijage Aipongeza PPF kwa Kuwekeza kwenye Viwanda
link : Matukio : Waziri, Mwijage Aipongeza PPF kwa Kuwekeza kwenye Viwanda
Matukio : Waziri, Mwijage Aipongeza PPF kwa Kuwekeza kwenye Viwanda
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage, (kulia), akipeana mikono na Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, leo Julai 1, 2017.
Waziri Mwijage a,kizungumza na wafanyakazi wa PPF kwenye banda la Mfuko huo.
Waziri Mwijage akipeana mikono na Afisa Uendeshaji Mwandamizi wa PPF, Bi. Pauline Msanga
Waziri Mwijage akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda lao
Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele, (kushoto), akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Bw. Richard Kayombo alipotembela banda la Mfuko huo
Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
Waziri Mwijage, akiagana na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda hilo. Kulia ni Mkuu Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Ben Mwaipaja.
Hivyo makala Matukio : Waziri, Mwijage Aipongeza PPF kwa Kuwekeza kwenye Viwanda
yaani makala yote Matukio : Waziri, Mwijage Aipongeza PPF kwa Kuwekeza kwenye Viwanda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Waziri, Mwijage Aipongeza PPF kwa Kuwekeza kwenye Viwanda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-waziri-mwijage-aipongeza-ppf.html
0 Response to "Matukio : Waziri, Mwijage Aipongeza PPF kwa Kuwekeza kwenye Viwanda"
Post a Comment