Loading...

MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM
link : MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM


L1
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasilano Shirika la Ndege la  ATCL Bi. Lilian Fungamtama akifurahia jambo na wananchi waliotembelea banda la shirika hilo lililopo katika banda la Maliasili  katika maonyesho ya Maonyesho ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje TANTRADE na kufanyika kila mwaka mwezi Julai.


L2
L3
Baadhi ya wananchi mbalimbali wakitembelea banda la Shirika la Ndege la ATCL katika viwanja vya maonyesho vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa.
L4
Octavian Nshiu Makamu wa Rais Viwanda Shirika la TCCIA akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa shirika hilo katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaa,
L6L7
Baadhi ya wadau wa TCCIA wanaoshughulika na mavazi ya viwandani na ujenzi  wakiwa katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
L8


Hivyo makala MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/matukio-yaliyojiri-maonyesho-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO YALIYOJIRI MAONYESHO YA SABASABA LEO KWENYE VIWANJA VYA J.K.NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...