Loading...
title : MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
link : MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na madereva wanaofanya safari zao kati ya Masiwani,Magomeni,Majengo na Raskaone Jijini Tanga waliogoma kutoa huduma kwa siku nzima wakiishinikiza Halmashauri kuikarabati barabara wanazozitumia kutokana na ubovu ambapo Mbunge huyo aliwataka kuendelea shughuli zao wakati kilio chao kikifanyiwa kazi
Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani (RTO)Nassoro Sisiwaya akizungumza kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akizungumza na waansdishi wa habari kuhusu namna halmashauri ilivyoweza kulitatua tatizo hilo mara moja kwa kupitisha greda kuichonga
Kaimu DTO wa wilaya ya Tanga,Imani Raphael akizungumza na madereva hao ambapo aliwataka kuendelea na shughuli zao wakati suala lao likishughuliwa na mamlaka husika.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
yaani makala yote MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mbunge-mussa-aingilia-kati-mgomo-wa.html
0 Response to "MBUNGE MUSSA AINGILIA KATI MGOMO WA MADEREVA DALADALA AWATAKA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO"
Post a Comment