Loading...

MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM
link : MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM


1 (2)
Mbunge wa Jimbo la Mikumi CHADEMA Mh. Joseph Haule aka Profesa J. amefunga pingu za maisha na mke wake Grace Mgonjo kwenye kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam leo ambapo wabunge kadhaa wa CHADEMA walihudhuria katika sherehe hiyo, Fullshangwe na Kikosi chake chote inamtakia maisha mema Mh. Profesa J. pamoja na Mkewe mungu awajalie afya njema na maisha marefu.
2 (2)
Mbunge wa Jimbo la Mikumi CHADEMA Mh. Joseph Haule aka Profesa J. akiwa na Mkewe ndugu jamaa na marafiki pamoja na wabunge wenzake mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam.
3 (2)
Waheshimiwa wabunge na wapambe wa Bwana Harusi wakiwa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaa.


Hivyo makala MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mbunge-wa-mikumi-mh-profesa-j-aachana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE WA MIKUMI MH. PROFESA J. AACHANA NA UKAPERA JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...