Loading...
title : Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga akabidhi gari la wagonjwa na shilingi milioni 17 kituo cha afya shinyanga mjini
link : Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga akabidhi gari la wagonjwa na shilingi milioni 17 kituo cha afya shinyanga mjini
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga akabidhi gari la wagonjwa na shilingi milioni 17 kituo cha afya shinyanga mjini
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga jana alikabidhi gari la wagonjwa Mkuu wa wilaya Shinyanga mjini Mhe. Josephine Matiro katika sherehe fupi iliyofanyika mjini humo. Sambamba na gari hilo pia Mhe. Mayenga alitoa Shilingi milioni 17 ambapo milioni 15 ni mchango wake wa ujenzi wa chumba cha upasuaji na milioni mbili kwa ajili ya kifaa cha maabara katika kituo cha Afya cha Kambarage.
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga akionesha funguo la gari la wagonjwa kabla ya kuikabidhi kwa Mkuu wa wilaya Shinyanga mjini Mhe. Josephine Matiro (kulia) katika sherehe fupi iliyofanyika mjini humo
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga akisindikizwa kwa nderemo na wananchi waliojawa na furaha baada ya kukabidhi gari la wagonjwa kwa Mkuu wa wilaya Shinyanga mjini Mhe. Josephine Matiro (kulia) katika sherehe fupi iliyofanyika mjini humo
La wagonjwa ambalo Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga amemkabidhi Mkuu wa wilaya Shinyanga mjini Mhe. Josephine Matiro.
Hivyo makala Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga akabidhi gari la wagonjwa na shilingi milioni 17 kituo cha afya shinyanga mjini
yaani makala yote Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga akabidhi gari la wagonjwa na shilingi milioni 17 kituo cha afya shinyanga mjini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga akabidhi gari la wagonjwa na shilingi milioni 17 kituo cha afya shinyanga mjini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mbunge-wa-viti-maalumu-mhe-lucy-mayenga.html
0 Response to "Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Lucy Mayenga akabidhi gari la wagonjwa na shilingi milioni 17 kituo cha afya shinyanga mjini"
Post a Comment