Loading...

Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda

Loading...
Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda
link : Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda

soma pia


Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda

Na Geofrey Chambua 
Hapa duniani kuna mambo mengi sana. Yapo ya kawaida na pia yapo ya kustaajabisha. Yanastaajabisha pale mtu binafsi unavyoona kwamba iko juu ya uwezo wako na wengine na kukufanya mhusika uone kama ni maajabu vile.
Nataka kusema ni kwa uwezo wa Mwenyenzi Mungu, kwa sababu binadamu anaweza kufanya kitu zaidi ya ufikiri wa binadamu mwenzake. ​Mmoja wa watu wa aina hiyo anaitwa Ramadhan Yasin Isuja (pichani) ambaye ni mwanafunzi wa Kidato cha Tatu Shule ya Sekondari Moshi (Zamani Old Moshi) mkoani Kilimanjaro.
Huyu kijana hakika ana kipaji cha pekee, kwani yeye ni MTUNZA MUDA wa shule mwenye ulemavu wa macho, lakini ana uwezo wa kukutajia SAA na DAKIKA bila kuangalia SAA. 
Na si hivyo tu, hata saa yenyewe wala SIMU hana maungoni mwake Sidhani kama utaamini kirahisi kama ambayo nami sijaamini maajabu hayo hata sasa lakini ndio ukweli halisi ambao nimeushuhuda bila kusimuliwa na mtu kwa kumuuliza majira zaidi ya mara tatu naye akinijibu bila kukosea hata chembe.
Licha ya kuwa mtunza muda wa Shule, Kijana Ramadhani pia ana uwezo wa kutaja ratiba ya shule nzima, yaani kila darasa na kipindi chake na hili tulilithibitisha wenyewe.
Ramadhani ni mzaliwa wa pili kwenye famlia ya watoto watano, na anasema wazazi wake walikua wakifanya kwa Wahindi na sasa mmojawapo anauza nguo, biashara ambayo ndiyo inayomsomesha kwa sasa. 
Katika ziara yangu niliambatana na Mkurugenzi wa Ubunifu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Dr Mafunda ambaye naye alichukua kumbukumbu kadhaa kwa tafakuri zaidi
Inline image 1Ramadhan Yasin Isuja mlemavu wa macho ambaye ni  mtunza muda (timekeeper) wa shule ya Sekondari Moshi (zamani Old Moshi) mkoani Kilimanjaro.
Inline image 2
Dr Dugushilu Mafunda (kulia) akiwa na kijana  Ramadhan Isuja na wanafunzi wenzie shuleni hapo

Inline image 4
Dr Dugushilu Mafunda akiwa anatajiwa noti na thamani yake na Ramadhan Isuja 

Inline image 3
​Dr Dugushilu Mafunda (Aluminae 1978) akipata ushahidi zaidi kwa wenzie na Ramadhan. Kulia ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule Hiyo Bwana Koshuma ...Wenye Imani haba huenda itakuwa vtema waende kumuona Shuleni Hapo..


Hivyo makala Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda

yaani makala yote Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mjue-mtunza-muda-wa-old-moshi-sekondary.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mjue Mtunza Muda wa Old Moshi Sekondary School Anayetumia Hisia kutambua muda"

Post a Comment

Loading...