Loading...
title : MRISHO MPOTO AWAKARIBISHA WATU KUTEMBELEA BONDE LA NGORONGORO KWA MUZIKI WA KUGHANI
link : MRISHO MPOTO AWAKARIBISHA WATU KUTEMBELEA BONDE LA NGORONGORO KWA MUZIKI WA KUGHANI
MRISHO MPOTO AWAKARIBISHA WATU KUTEMBELEA BONDE LA NGORONGORO KWA MUZIKI WA KUGHANI
Msanii wa Muziki wa Kughani Mrisho mpoto akitoa burudani kwa wadau katika Viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba kwa kuwakumbusha juu ya Utalii wa ndani kwa kutembelea Hifadhi ya bonde la Ngorongoro hili kuweza kujionea vivutio Mbalimbali
Mwanamuziki BizMan wa InAfrica Band akipiga Kinanda cha wimbo wa Mrisho Mpoto katika onesho la kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia
Waimbaji wa bendi ya Mpoto Theatre ,Ismail na Fery wakiimba wimbo wa waite katika onesho la kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia
Msanii Stara Thomas akiimba pamoja na Mrisho Mpoto katika shoo kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Wasanii wa kikundi cha Mpoto Theatre Group wakitoa burudani kwa wadau kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Wasanii wa bendi ya In Africa wakimsindikiza Mrisho mpoto kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Mpiga Tumba wa InAfrica Band Ras Pompidou akipiga tumba kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Sehemu ya wadau kutoka bonde la Ngorongoro wakiwa wanafuatilia shoo ya Mrisho Mpoto
Mpiga gitaa wa InAfrica band Roy Figuiredo ambao wameshirikina a Mpoto Theatre wakati wa kuwakaribisha watu katika bonde la Ngorongoro kujionea vivutio vilivyo na maajabu saba ya Dunia iliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba
Hivyo makala MRISHO MPOTO AWAKARIBISHA WATU KUTEMBELEA BONDE LA NGORONGORO KWA MUZIKI WA KUGHANI
yaani makala yote MRISHO MPOTO AWAKARIBISHA WATU KUTEMBELEA BONDE LA NGORONGORO KWA MUZIKI WA KUGHANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MRISHO MPOTO AWAKARIBISHA WATU KUTEMBELEA BONDE LA NGORONGORO KWA MUZIKI WA KUGHANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mrisho-mpoto-awakaribisha-watu.html
0 Response to "MRISHO MPOTO AWAKARIBISHA WATU KUTEMBELEA BONDE LA NGORONGORO KWA MUZIKI WA KUGHANI"
Post a Comment