Loading...

Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.

Loading...
Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.
link : Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.

soma pia


Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.

 Na: Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar.
Mshambuliaji Ahmed Ali Omar wa Jamhuri pamoja na Ibrahim Hamad “Hilika” wa Zimamoto wao ndio vinara wa kupachika mabao kwenye ligi kuu soka ya Zanzibar hatua ya 8 bora.

Washambuliaji hao mpaka sasa wameshafunga jumla ya mabao 5 kila mmoja katika michezo 8 waliyocheza.
Wanaochuwana na washambuliaji hao ni Mshambuliaji wa Jang’ombe Boys Khamis Mussa “Rais”,Mwalimu Mohd wa Jamhuri pamoja na Abdull Yussuf wa Mwenge ambao wote wameshafunga mabao 4 kila mmoja.
Wengine wanaofuatia ni Seif Saleh wa Okapi, Mussa Ali Mbarouk wa Jamhuri na Hassan Haji wa Zimamoto wote hao wana mabao 3.

Hakim Khamis “Men” ndie Mfungaji bora wa ligi kuu soka ya Zanzibar msimu ulopita alifunga mabao 17 na kuisaidia timu yake Zimamoto kutwaa ubingwa wa ligi hiyo ambapo pia aliwahi kuwa mfungaji bora wa ligi kuu soka ya Zanzibar msimu wa mwaka 2011-2012 wakati Super Falcon ya Pemba ilitwaa ubingwa msimu huo ambapo mpaka sasa hajapewa zawadi yoyote kwa kufanikiwa kuwa mfungaji bora.


Hivyo makala Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.

yaani makala yote Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/mshambuliaji-wa-timu-ya-zimamoto-hilika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Hilika Akichuana na Ahmed Katika Ufungaji wa Bao Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora."

Post a Comment

Loading...