Loading...

Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali

Loading...
Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali
link : Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali

soma pia


Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali


Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali kama ifuatavyo:-

1. CHEMISTRY Daraja la II “Nafasi 7”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Chemistry Science’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. FOOD SCIENTIST Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Food Science kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

3. ENVIRONMENTALIST Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Environmental kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

4. MICROBIOLOGIST Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Microbiology kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

5. MOL. BIOLOGIST Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Mol. Biology kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

6. PETROLEUM CHEMISTRY Daraja la II “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza ya Petroleum Chemistry kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

7. INFORMATION TECHNOLOGY (IT) Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ‘ IT’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.

• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba.

Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 17 Julai 2017 wakati wa saa za kazi.


Hivyo makala Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali

yaani makala yote Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/nafasi-za-kazi-ofisi-ya-mkemia-mkuu-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nafasi za kazi Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali"

Post a Comment

Loading...