Loading...

NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI

Loading...
NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI
link : NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI

soma pia


NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI


NA K-VIS BLOG, DODOMA

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi, Mhe. Selemani Jafo amejiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia Mpango wa uchangiaji wa Hiari, (PSS) na kuhimiza na kjtoa wito kwa waajiri wote nchini kuwasilisha michango ya wafanyakazi wao katika mifuko ya hifadhi ya jamii kwa wakati kama sheria inavyowataka ili kuepuka usumbufu kwa wanachama wakati wa kupata Mafao yao wanapostaafu. 

Mhe. Jafo aliyasema hayo wakati akifungua semina ya mafunzo kwa wastaafu watarajiwa mkoani Dodoma Julai 14, 2017.Semina hiyo imelenga kuwajengea uwezo wastaafu hao watajiwa ili kuweza kufanya shughuli za ujasiriamali wakati muda wao wa utumishi wa umma utakapokoma.

Mhe. Jafo amewanyooshe kidole waajiri wenye tabia ya kutopeleka michango ya wanachama katika mifuko yao kitendo ambacho kinasababisha kero kubwa pindi watumishi hao wanapostaafu na kuanza kuhangaikia Mafao yao kutokana na taarifa za uwasilishaji michango katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kutokamilika.

“Nitoe rai kwa ndugu zangu watumishi wa umma ambao katika kipindi cha miaka miwili ijayo mtaondoka kwenye utumishi wa umma, yatumieni vema mafunzo haya ili mtakapopata mafao yenu basi tayari mtakuwa na nyenzo ya kuwasaidia kutumia vema fedha mtakazopata kwa kuanzisha viwanda vidogo vidogo, lakini pia kilimo na ufugaji wa kisasa na hatimaye kuyafanya maisha yenu kuwa bora baada ya utumishi wa umma.” Aiasa Mhe. Jafo.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo akikabidhiwa fomu ya kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia Mpango wa uchangiaji wa Hiari, (PSS), kutoka kwa Mfkurugenzi wa Uendeshaji, Bi. Neema Muro, (kulia), baada ya kufungua semina ya Mafunzo kwa wastaafu watarajiwa mkoni Dodoma Julai 14, 2017.
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akitoa hotuba yake. "Mfuko umetenga kiasi cha shilingui Bilioni 1.3 kwa ajili ya kulipa mafao watumishi 9,552 wanaotarajiwa kustaafu kati ya mwaka huu wa 2017/2018."
Naibu Waziri Jafo akitoa hotuba yake.
Washiriki wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo.



Hivyo makala NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI

yaani makala yote NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/naibu-waziri-jafo-ahimiza-waajiri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI JAFO AHIMIZA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO YA WANACHAMA KWA WAKATI"

Post a Comment

Loading...