Loading...

NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE

Loading...
NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE
link : NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE

soma pia


NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE

Kufuatia barua aliyopokea Spika wa Bunge Mhe. Job Yustino Ndugai kutoka kwa Mwenyekiti Prof. Ibrahim Haruna Lipumba na Kaimu Katibu Mkuu Mhe. Magdalena Hamisi Sakaya (Mb) wa Chama cha Wananchi (CUF), Mheshimiwa Spika angependa kuwaarifu Watanzania wote kwamba amejiridhisha kuwa Wabunge hao wamefukuzwa Uanachama kulingana na taratibu za Chama hicho na hivyo wamekosa sifa za kuendelea na Ubunge. Wabunge hao ni: - 

1. Mhe. Severina Silvanus Mwijage, (MB);

2. Mhe. Saumu Heri Sakala, (MB);

3. Mhe. Salma Mohamed Mwassa, (MB);

4. Mhe. Riziki Shahari Mngwali, (MB);

5. Mhe. Raisa Abdallah Mussa, (MB);

6. Mhe. Miza Bakari Haji, (MB);

7. Mhe. Hadija Salum Ally Al-Qassmy, (MB); na

8. Mhe. Halima Ali Mohamed, (MB).

Hivyo, kwa mamlaka aliyonayo kwa kuzingatia kifungu cha 67(1)(b) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 kikisomwa pamoja na kifungu 37(3) cha Sheria ya Uchaguzi Sura 343 kama ilivyojadidiwa Mwaka 2015, Mheshimiwa Spika ametangaza nafasi hizo kuwa wazi na pia kumuandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ili aendelee na hatua zinazostahili kujaza nafasi hizo kwa Mujibu wa Sheria na Taratibu zilizopo.

Imetolewa na: 
Ofisi ya Spika,
S. L. P. 941,
DODOMA.
26 Julai, 2017


Hivyo makala NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE

yaani makala yote NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/news-alert-wanachama-nane-wa-cuf.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWS ALERT: WANACHAMA NANE WA CUF WALIOFUKUZWA WAKOSA UBUNGE"

Post a Comment

Loading...