Loading...
title : NIDA YAFURIKA WANANCHI WANAOHITAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA SABASABA
link : NIDA YAFURIKA WANANCHI WANAOHITAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA SABASABA
NIDA YAFURIKA WANANCHI WANAOHITAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA SABASABA
Kaimu Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano na Hifadhi hati kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa 'NIDA' ,Rose Mdami akimsikiliza mmoja wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam aliyefika kupata huduma ya Kitambulisho cha Taifa katika banda lao lililopo katika Viwanja vya Maonyesho Sabasaba
Afisa Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Agnes Gerald akiwa amezungukwa na wateja mbalimbali waliofika kupata vitambulisho vya Taifa. katika viwanja vya Maonesho Sabasaba
baadhi ya wakazi wa jiji wakisubiri kupigwa picha hili waweze kupatiwa Vitambulisho vyao
Afisa Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),Said Said akiwa amezungukwa na wateja mbalimbali waliofika kupata vitambulisho vya Taifa. katika viwanja vya Maonesho Sabasaba
Afisa kutoka Uhamiaji ,Elias Chipolo akikagua nyaraka na viambatanisho vinavytakiwa katika fomu ya kuomba vitambulisho vya Taifa.
Sehemu ya watu waliofurika katika Maonyesho ya Sabasaba kufuata vitambulisho vya Taifa
Hivyo makala NIDA YAFURIKA WANANCHI WANAOHITAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA SABASABA
yaani makala yote NIDA YAFURIKA WANANCHI WANAOHITAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NIDA YAFURIKA WANANCHI WANAOHITAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/nida-yafurika-wananchi-wanaohitaji.html
0 Response to "NIDA YAFURIKA WANANCHI WANAOHITAJI VITAMBULISHO VYA TAIFA SABASABA"
Post a Comment