Loading...
title : OLD SCHOOL REUNION USIPIME WIKI 4 TU ZIMEBAKI COLUMBUS OHIO KIMATAIFA ZAIDI
link : OLD SCHOOL REUNION USIPIME WIKI 4 TU ZIMEBAKI COLUMBUS OHIO KIMATAIFA ZAIDI
OLD SCHOOL REUNION USIPIME WIKI 4 TU ZIMEBAKI COLUMBUS OHIO KIMATAIFA ZAIDI
RATIBA KAMILI NI KAMA IFUATAVYO
Ijumaa Sept 1, 2017
Kuanzia saa 3 usiku ni Africa Night chini ya DJ Burundi na kutakua na onyesho la mavazi kutoka kwa Missy T na Asya Idarous Khamsin anuani ni
4257 Eastland Square Dr,
Columbus, OH 43243
Jumamosi Sept 2, 2017
Kuanzia saa 8 mchana ni BONANZA la mpira wa kikapu kutoka kwa vijana wa Pazi, Vijana, Don Bosco na kwengineko anuani ni
6615 Dublin center Dr,
Dublin, OH 43017
Jumamosi Sept 2, 2017
kuanzia saa 12 jioni ni mechi ya Simba na Yanga itakayokua na wachezaji waliocheza ligi kuu Tanzania anuani ni
Avery Park,
7501 Avery Rd,
Dublin, OH
43017
Na baadae kuanzia saa 3 usiku ni Old School Reunion chini na Ma DJ bora North America DJ Dennis (Funky House) na The Mix Master DJ Luke Joe anuani ni 4257 Eastland Square Dr
Columbus, OH 43243
Jumapili Sept 3, 2017
kuanzia saa 12 jioni
NYAMA CHOMA anuani
kuanzia saa 12 jioni
NYAMA CHOMA anuani
Avery Park,
7501 Avery Rd,
Dublin, OH
43017
Na baadae kuanzia saa 3 usiku ni usiku wa Reggae anuani ni
4257 Eastland Square Dr,
Columbus, OH 43243
MISOSI NA VINYWAJI VYAKUMWAGA
Hivyo makala OLD SCHOOL REUNION USIPIME WIKI 4 TU ZIMEBAKI COLUMBUS OHIO KIMATAIFA ZAIDI
yaani makala yote OLD SCHOOL REUNION USIPIME WIKI 4 TU ZIMEBAKI COLUMBUS OHIO KIMATAIFA ZAIDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala OLD SCHOOL REUNION USIPIME WIKI 4 TU ZIMEBAKI COLUMBUS OHIO KIMATAIFA ZAIDI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/old-school-reunion-usipime-wiki-4-tu.html
0 Response to "OLD SCHOOL REUNION USIPIME WIKI 4 TU ZIMEBAKI COLUMBUS OHIO KIMATAIFA ZAIDI"
Post a Comment