Loading...
title : PBZ YAWAKARIBISHA WADAU KUFUNGUA AKAUNTI KATIKA BANDA LAKE LA MAONESHO LA SABASABA
link : PBZ YAWAKARIBISHA WADAU KUFUNGUA AKAUNTI KATIKA BANDA LAKE LA MAONESHO LA SABASABA
PBZ YAWAKARIBISHA WADAU KUFUNGUA AKAUNTI KATIKA BANDA LAKE LA MAONESHO LA SABASABA
Afisa Teknohama wa Islamic Benki ya PBZ ,Rahma Ali akizungumza na mmoja wateja waliofika katika banda lao la Maonyesho lililopo katika Viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba ambapo benki hiyo inawezesha kufungua akaunti ya Islamic benki na kuwezesha kupata mkopo usiokuwa na riba.
Afisa Mahusiano wa PBZ -Bank LTD ,Aisha Ali Mohd akizungumza na mmoja wa wadau waliofika katika banda la PBZ kupata maelekezo namna ya kufungua Akaunti kwenye benki hiyo

Afisa Masoko PBZ Bank, Anas Rashid Ramadhani akizungumza na wateja juu ya huduma za mikopo na ufungaji wa akaunti katika benki hiyo pamoja na ununuzi wa Viwanja kwa njia ya mkopo ambao utalipwa ndani ya miaka 10 wakati wa Maonyesho ya Sabasaba
Wafanyakazi wa PBZ ,Hamyer Said na Biubwe Vuai wakimuelekeza mteja aliyefika katika banda hilo faida za Islamic Bank
Salehe Abdalah akizungumza na mmoja wa wateja waliofika katika banda la Benki ya watu wa Zanzibar PBZ kutaka kufungua akaunti wkati wa Maonesho ya Sabasaba.

Hivyo makala PBZ YAWAKARIBISHA WADAU KUFUNGUA AKAUNTI KATIKA BANDA LAKE LA MAONESHO LA SABASABA
yaani makala yote PBZ YAWAKARIBISHA WADAU KUFUNGUA AKAUNTI KATIKA BANDA LAKE LA MAONESHO LA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PBZ YAWAKARIBISHA WADAU KUFUNGUA AKAUNTI KATIKA BANDA LAKE LA MAONESHO LA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/pbz-yawakaribisha-wadau-kufungua.html
0 Response to "PBZ YAWAKARIBISHA WADAU KUFUNGUA AKAUNTI KATIKA BANDA LAKE LA MAONESHO LA SABASABA"
Post a Comment