Loading...
title : PICHA ZA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPO FUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR
link : PICHA ZA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPO FUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR
PICHA ZA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPO FUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akitembelea mabanda mbalimbali baada ya kufungua rasmi maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo. Rais Magufuli ameyafungua rasmi Maonyesho hayo, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017, ambapo kwa ushauri wake, Maonyesho haya kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017. Picha na Ikulu.
Hivyo makala PICHA ZA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPO FUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR
yaani makala yote PICHA ZA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPO FUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PICHA ZA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPO FUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/picha-za-rais-dkt-magufuli-alipo-fungua.html
0 Response to "PICHA ZA RAIS DKT. MAGUFULI ALIPO FUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR"
Post a Comment