Loading...
title : RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI BODI SHIRILA LA MELI,BANDARI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARIN
link : RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI BODI SHIRILA LA MELI,BANDARI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARIN
RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI BODI SHIRILA LA MELI,BANDARI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usafirishaji Baharini na Uongozi wa Mamlaka ya Usafirishaji Baharini katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli na Uongozi wa Shirika la Meli Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Meli na Uongozi wa Shirika la Meli Zanziba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Bodi hiyo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo (Picha na Ikulu).
Hivyo makala RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI BODI SHIRILA LA MELI,BANDARI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARIN
yaani makala yote RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI BODI SHIRILA LA MELI,BANDARI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARIN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI BODI SHIRILA LA MELI,BANDARI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARIN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-dkshein-azungumza-na-uongozi-bodi.html
0 Response to "RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI BODI SHIRILA LA MELI,BANDARI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARIN"
Post a Comment