Loading...

Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora

Loading...
Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora
link : Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora

soma pia


Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akipewa akisikiliza maelezo mafupi mara baada kufungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora. Rais Dkt Magufuli ameagiza Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano kujenga jengo la abiria 500 badala ya jengo lililopo la abiria 50.Pia ameagiza urefu wa uwanja uongezwe hadi kufikia kilometa 2.5 badala ya kilometa 1.9 zilizopangwa ili ndege kubwa na ndogo ziweze kuutumia uwanja huo.
Rais Dkt John Pombe Magufuli ameweka jiwe la Msingi la mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda miji ya Tabora, Nzega na Igunga. Mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 600 na unatekelezwa kwa fedha za mkopo nafuu kutoka India. Una uwezo wa kuzalisha lita Milioni 80 kwa ajili ya Mji wa Tabora.
 Rais Dkt John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo mafupi ya mradi hu wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora,kutoka kwa Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Prof Makame Mbarawa mapema leo mkoani humo

Rais Dkt John Pombe Magufuli mapema leo amefungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora,Wakati wa uzinduzi wa mradi huo,Rais Dkt Magufuli ameagiza Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano kujenga jengo la abiria 500 badala ya jengo lililopo la abiria 50.Pia ameagiza urefu wa uwanja uongezwe hadi kufikia kilometa 2.5 badala ya kilometa 1.9 zilizopangwa ili ndege kubwa na ndogo ziweze kuutumia uwanja huo.


Hivyo makala Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora

yaani makala yote Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-afungua-mradi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Dkt Magufuli afungua mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Tabora"

Post a Comment

Loading...