Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS NKURUNZIZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA.
link : RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS NKURUNZIZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA.
RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS NKURUNZIZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe magufuli akiwa ameambatana na mgeni wake Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza aliewasili mapema leo katka uwanja wa mpira wa Lemela mjini Ngara,Rais Dkt Magufuli amempokea Rais Nkurunziza akiwa kwenye ziara yake kikazi mkoani Kagera.
Aidha Rais Nkurunziza baada ya kupokelewa na Mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli,alipata wasaa wa kuwasalimia wananchi mbalimbali waliofika kumpokea katika uwanja huo wa mpira mjini Ngara.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS NKURUNZIZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA.
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS NKURUNZIZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS NKURUNZIZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-ampokea-rais.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA RAIS NKURUNZIZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA."
Post a Comment