Loading...

Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya

Loading...
Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya
link : Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya

soma pia


Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya

Rais John Magufuli amemmwagia sifa mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya na kusema kuwa mwili na tabia yake ni za CUF lakini roho na damu yake ni ya CCM.

Ameyasema hayo leo Jumapili, Julai 23 wakati wa ziara yake mkoani Tabora na kuwataka wabunge wa CCM kumpa ushirikiano anapofanya shughuli za maendeleo.

“Inawezakana hata siku zijazo akahamia CCM, damu yake na roho yake ni CCM ingawa mwili na maneno na tabia zake ni CUF,” amesema.

Amesema ni mara kumi uwe na CUF, Chadema au NCCR anayefanya mambo ya CCM kuliko uwe na CCM anayefanya mambo ya vyama vingine.

“Hasara yake ni kubwa mno, mnafikiri ni mwenzenu wakati siyo mwenzenu, nani hayajui haya hata wakati wa kampeni yalitokea unafikiri siyajui,” amesema.

Amewataka wabunge wa CCM kumpa ushirikiano Sakaya na kuwataka wasimbague kama asivyowabagua.


Hivyo makala Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya

yaani makala yote Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-ammwagia-sifa-mbunge-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli Ammwagia SIFA mbunge wa Kaliua, (CUF) Magdalena Sakaya"

Post a Comment

Loading...