Loading...
title : RAIS MAGUFULI AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO MBALIMBALI YA HADHARA
link : RAIS MAGUFULI AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO MBALIMBALI YA HADHARA
RAIS MAGUFULI AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO MBALIMBALI YA HADHARA
Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wakifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali serikali wakikata Utepe kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi
Baaadhi ya Viongozi wa vyama vya siasa na wananchi wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma wakisikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara ya Kibondo -Nyakanazi.
Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kijana mwenye ulemavu amabye ni fundi wa kushona nguo ndugu Aron Michael Kapililo mkazi wa Kibondo ambaye alisimiana na Rais Magufuli
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapungia mikono mamia ya wakazi wa Kasulu, Mkoani Kigoma.
Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge Kigoma Mjini Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe mara baada ya kuzindua ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliokuwa wamefurika njiani mara baada ya Uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu Mkoani Kigoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS MAGUFULI AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO MBALIMBALI YA HADHARA
yaani makala yote RAIS MAGUFULI AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO MBALIMBALI YA HADHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO MBALIMBALI YA HADHARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-azindua-miradi-mbalimbali.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO MBALIMBALI YA HADHARA"
Post a Comment