Loading...

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji.

Loading...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji.
link : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji.

soma pia


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji.

RAIS Dkt. John Magufuli amemuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumsimamisha kazi Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Bi. Grace Hokororo asimamishwe kazi kwa tuhuma za kuingiza nchini raia 50 wa Somalia na kuwapa vibali vya kuishi kinyume cha taratibu.

Kauli hiyo imetolewa leo (Ijumaa, Julai 28, 2017), na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kumaliza kikao na Makamishna wa uhamiaji. Kikao hicho kilifanyika Makao Makuu ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam.

Pia Waziri Mkuu amemuagiza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba kuunda tume ya uchunguzi kuhusu utoaji wa vibali uraia nchini.

Amesema haiwezekani raia wa kigeni wanaingizwa nchini na wanapewa vibali vya kuishi bila ya kufanyiwa uchunguzi wa kina. “Idara ya Uhamiaji tunaitegemea kusimamia mipaka yetu na kuziba mianya ya watu kuingia bila ya kufuata taratibu lakini kwa mapenzi yake Ofisa huyu ameruhusu Wasomali kuingia bila kufuata taratibu.”

Waziri Mkuu amesema ni lazima uchunguzi ufanyike ili kubaini “Tulidhani ni kitu gani kilimsukuma kutoa vibali kwa Wasomali hao ambao hawakuwepo nchini wameingia na kupewa vibali moja kwa moja kwa mapenzi yake tu sasa hii ni dosari hatuwezi kuivumilia.”

Amesema Serikali inaitegemea Idara ya Uhamiaji kwa kuzuia mianya ya uingiaji raia mbalimbali kutoka nje ya nchi bila ya kufuata taratibu, hivyo Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli ameagiza Ofisa huyo asimamishwe kazi na uchunguzi ufanyike ili kubaini malengo yake.

"Hawa Wasomali aliowapa vibali vya kuishi wala hawakuwa wanaishi nchini wameingia tu na kupewa vibali, hivyo Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli ameagiza ofisa huyo akae pembeni na achunguzwe ni kujua ni kitu gani kilimsukuma kutoa vibali kwa raia hao."

Pia Waziri Mkuu ameiagiza idara ya Uhamiaji wadhibiti kitengo cha utoaji hati za kusafiria za Kibalozi na kwa wanaomaliza muda wasipewe tena. " Lazima hati hizo zikaguliwe katika mipaka yote na maeneo yote ya usafiri ili kujua kama huyo anayeitumia bado anahadhi hiyo na msiporidhika ichukuweni kwani kuna watu wanazitumia vibaya."

Hata hivyo Waziri Mkuu ameagiza uchungilzi wa kina ufanyike kwa watu wote walioomba hati za kusafiria pamoja na vibali vya makazi kama wanakidhi matakwa ya kisheria kabla ya kuwakabidhi.


IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,

IJUMAA, JULAI 28, 2017


Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji.

yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_28.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aagiza Kusimamishwa Kazi Kwa Naibu Kamishna wa Uhamiaji."

Post a Comment

Loading...