Loading...

SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI

Loading...
SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI
link : SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI

soma pia


SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI


Na Benny Mwaipaja, WFM-Dodoma

Serikali imeeleza kuwa inajitahidi kuboresha miundombinu kama vile teknolojia ya Mawasiliano, Barabara, Ulinzi, Maji na Umeme katika maeneo ya vijijini ili kuweka mazingira bora yatakayovutia wawekezaji kutoka sekta binafsi kuwekeza katika sekta ya fedha ili kupanua huduma hiyo katika maeneo ya mijini na vijijini.

Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Josephine Chagulla (CCM), aliyetaka kujua mpango wa Serikali wa kuwapa wanawake elimu kuhusu mikopo pamoja na kufikisha huduma za kibenki maeneo ya vijijini ili waweze kufikiwa na huduma za kifedha.

Mhe. Josephine Chagulla ameeleza kuwa wanawake wengi wa vijijini hawakopesheki kwa sababu benki haziwafikii, pia hawana mafunzo maalumu ya kuwasaidia ujuzi wa namna ya kuzifikia huduma hiyo ya kukopeshwa

Akijibu swali hilo Dkt. Kijaji alisema kuwa, elimu ya fedha inahusisha wadau mbalimbali ikiwemo Serikali na Taasisi zake, ambapo kwa upande wa Serikali, Benki Kuu inaratibu uanzishwaji wa taasisi ya kitaifa itakayokuwa na jukumu la kuratibu, kuwezesha na kusimamia utoaji wa elimu ya fedha kwa jamii.

“Serikali kupitia Benki Kuu imetoa mwongozo wa Uwakala wa Huduma za Kibenki ili kupanua wigo wa huduma za kibenki kuweza kuwafikia wananchi wengi zaidi na kwa gharama nafuu hasa katika maeneo ya vijijini”. Alisema Dkt. Kijaji.



Hivyo makala SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI

yaani makala yote SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/serikali-yaahidi-kuboresha-miundombinu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA FEDHA VIJIJINI"

Post a Comment

Loading...