Loading...
title : SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
link : SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
mwambawahabari
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Jason Ipyana akitoa maelezo kwa kwa wananchi mbalimbali waliotembelea katika banda la NHC kwenye maonyesho ya biashara ya Sabasaba yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE) yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam kila mwaka kuanzia tarehe 1 mwezi Julai
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kutembelea kwenye banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa shirika hilo.
Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Joseph Haule akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika banda hilo ili kujua shughuli mbalimbali na miradi inayofanywa na shirika hilo nchni kote.
Baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda hilo wakiangalia moja ya mfano wa ramani za miradi ya shirika hilo inayoonyeshwa katika maonyesho hayo.
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda hilo wakiangalia mfano wa moja ya nyumba zinazojengwa katika miradi ya shirika hilo.
Tuntufye Mwambusi Meneja Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa akizungumza na mmoja wa wageni waliotembelea banda lao na kuona shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini.
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bi. Haika Swai akimuelekeza jambo mmoja wa wananchi waliofika kwenye banda la NHC ili kupata taarifa mbalimbali kuhusu shirika hilo.
Afisa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bi. Mwasiti Jimmy akizungumza na mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda la Shirika la Nyumba NHC kwenye viwanja vya Maonyesho ya biashara yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Hivyo makala SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/shirika-la-nyumba-la-taifa-nhc.html
0 Response to "SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment