Loading...

SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA

Loading...
SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA
link : SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA

soma pia


SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA

Tarehe 14 Julai, 2017 ilikuwa ni siku ya Tanzania Jijini Ottawa, Canada. Siku hii ilikuwa ni mwendelezo wa sherehe za kuazimisha miaka 150 ya uwepo wa Taifa la Canada. Mamlaka ya Jiji la Ottawa ilitoa fursa kwa ofisi mbalimbali za kibalozi kushiriki katika sherehe hizo ambazo zimekuwa zikiendelea tangu Januari 2017. Tarehe 14 Julai ilipangwa kwa ajili ya Tanzania.  Ubalozi wa Tanzania uliopo Jijini Ottawa ulitumia siku hiyo kuitangaza nchi yetu katika nyanja mbalimbali kama vile uchumi, utalii na utamaduni.

Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Zoka akiwa na mkewe Bi. Esther Zoka, akikata utepe kuashiria kuanzishwa kwa shughuli mbalimbali zilizofanyika siku hiyo.

Bi. Petronilla Lyimo, Mshereheshaji wa siku hiyo ambaye ni mke wa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Jumuiya ya Wana-diaspora wa Tanzania Jijini Ottawa (TAO)
Mhe. Balozi Jack Zoka akimtembeza Meya Jim Watson kwenye maonyesho ya vikundi mbalimbali vilivyoshiriki siku hiyo.
Afisa wa Ubalozi Bw. Leonce Bilauli akitoa zawadi kwa Meya wa Jiji la Ottawa Jim Watson alipotembelea ukumbi wa maonyesho akishuhudiwa na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Zoka.

 Afisa wa Balozi Bi. Aziza Bukuku akiwa kwenye banda la Ubalozi akielezea wageni kuhusu Tanzania. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA


Hivyo makala SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA

yaani makala yote SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/siku-ya-tanzania-katika-jiji-la-ottawa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIKU YA TANZANIA KATIKA JIJI LA OTTAWA, CANADA, YAFANA"

Post a Comment

Loading...