Loading...

SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI

Loading...
SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI
link : SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI

soma pia


SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI

Mwambawahabari 

Mashindano ya Mbio za Baiskeli katika Mikoa mitano ya Kanda ya ziwa yanataraji kufanyika AGOSTI 6, 2017 katika Viwanja vya Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoani Simiyu.
Mashindano hayo yameandaliwa na Kampuni ya uzalishaji wa Vinywaji Baridi ya JAMBO FOOD PRODUCT kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
Mashindano hayo yatahusisha Umbali wa Kilomita 200 kwa Wanaume, Kilomita 80 kwa Wanawake na Kilomita 5 kwa watu wenye Ulemavu.
Pia kutakuwa na Burudani Mbalimbali Kutoka kwa WAGIKA na WAGARO na Ngoma nyingine nyingi za Asili zitatolewa siku hiyo. Zawadi Mbalimbali zitatolewa kwa washiriki ikiwemo Pikipiki na fedha Taslimu zaidi ya Shilingi Milioni nane.
Fomu za Ushiriki wa SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 zinapatikana katika Ofisi za Maafisa Michezo katika Halmashauri za Mikoa ya Simiyu, Shinyanga, Mwanza, Mara na Geita kwa Gharama ya Shilingi 5000 tu.
Mgeni rasmi Katika Mashindano hayo ya mbio za Baiskeli ya SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 atakuwa ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Tulia.
Mkoa wa Simiyu, Wilaya Moja Bidhaa Moja
HAKUNA KIINGILIO KATIKA MASHINDANO HAYO, NYOTE MNAKARIBISHWA


Hivyo makala SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI

yaani makala yote SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/07/simiyu-jambo-festival-2017-kurindima.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMIYU JAMBO FESTIVAL 2017 KURINDIMA MWEZI AGOSTI"

Post a Comment

Loading...